Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Hapa tu kuna sms ya mzinguaji imeingia tuna peana hi basi siku zinaenda, nazani hao ni utoto ila wapo hata awe na umri mkubwa hawabadiliki
Huyo MTU mzima asiyebadilika ni wa hovyo,..miaka ya nyuma kdg waliimbiwa nyimbo ,"MTU Hovyo" sikumbuki muimbaji
 
Mbona hio sio siri.

Msinitoe roho basi nisameheni. Leo sikukuu ya ekarist takatifu.
Hafu sio kila kitu mnapaniki ndo maana hamuishi kuumwa presha.
we jamaa bana sio poa lakini unavyowafanyia
 
Kuna watu wanatutongoza mwaka wa saba huu na wala hawakasiriki wakikataliwa. Mtu anakutongoza na ka Id fake wala hata hakujui anakasirika kabisa. Kumbe maskini unaweza ukamkubalia akikuona live unalingana na bibi yake
hahahahaha mamaeeeee aiseeee
 
kuna kitoto kina mwezi wa 5 kinaomba namba yangu!ukikiangalia sasa!kimevaa maviatu mekundu as artist!hhaha hakana ht la maana!kuutwa kunikera!kakome kuanzia leo na najua kamejijua!mxiew
hahahahaahahaha ****.mamaeeeeee aiseeee kumbe huko pm ndio kuna mazoezi makali ivi mnafanyishwa
 
yani mie hata kuzaaa i prefer single mom......ana kipaumbele kikubwa sana kwangu
Why single mom? Na wewe single dad au mtu mzima? Kama hujafika hata 30 sahau single mom
 
Mafua wapeleke huko kwani huko mtaani hawakutani nao mpaka humu, kutafuta vitonga tu sasa 21yr wanini si hata kuoga hajui
Mbona mnawaoffend sana wenye umri mdogo..kuwa msafi ni hulka tu,unaweza kuwa 28+ bado ukawa mchafu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…