Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa wazee tumo wengi sana [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa wazee tumo wengi sana [emoji2]
Huyo MTU mzima asiyebadilika ni wa hovyo,..miaka ya nyuma kdg waliimbiwa nyimbo ,"MTU Hovyo" sikumbuki muimbajiHapa tu kuna sms ya mzinguaji imeingia tuna peana hi basi siku zinaenda, nazani hao ni utoto ila wapo hata awe na umri mkubwa hawabadiliki
we jamaa bana sio poa lakini unavyowafanyiaMbona hio sio siri.
Msinitoe roho basi nisameheni. Leo sikukuu ya ekarist takatifu.
Hafu sio kila kitu mnapaniki ndo maana hamuishi kuumwa presha.
Hahaha, hapana Rafiki ,naongea kwa uzoefu tuahahaha msg SENT
Utakuta kutwa nzima yeye na vijana vijana tu kukaa nawatu wazima hapanaHuyo MTU mzima asiyebadilika ni wa hovyo,..miaka ya nyuma kdg waliimbiwa nyimbo ,"MTU Hovyo" sikumbuki muimbaji
Mimi tu mpenzi ikifika jioni nabanwa kifua halaf kinaachiaNan anaumwa shem ?
Mi kizee mwayaaMamy mimi naamini wewe ni under 18. Km nikitaka kumcheat Hajar, bas nitakuja kwako mtoto mbichi
Pole sana, jiwahishe ukapate tiba mpendwa wanguMimi tu mpenzi ikifika jioni nabanwa kifua halaf kinaachia
hahahahaha mamaeeeee aiseeeeKuna watu wanatutongoza mwaka wa saba huu na wala hawakasiriki wakikataliwa. Mtu anakutongoza na ka Id fake wala hata hakujui anakasirika kabisa. Kumbe maskini unaweza ukamkubalia akikuona live unalingana na bibi yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Hunishindi unakuta kinasema Mzee akiondoka niite nitakuja haaa jamani si laani hizi??????
Kizee km Shunie?Mi kizee mwayaa
Vitonga tu hao badala wakatafute pesa wanakimbilia kwa mama zao[emoji23][emoji23][emoji23]
Dudu habari yako.hahahahaha mamaeeeee aiseeee
hahahahaahahaha ****.mamaeeeeee aiseeee kumbe huko pm ndio kuna mazoezi makali ivi mnafanyishwakuna kitoto kina mwezi wa 5 kinaomba namba yangu!ukikiangalia sasa!kimevaa maviatu mekundu as artist!hhaha hakana ht la maana!kuutwa kunikera!kakome kuanzia leo na najua kamejijua!mxiew
yani mie hata kuzaaa i prefer single mom......ana kipaumbele kikubwa sana kwanguwapende!uwatie moyo!nao wanahitaj kupendwa! nimekwazika sana na comment ya yule dogo
hahahahahaha nzuri daaaah aiseee hahahahahahahDudu habari yako.
Sasa miludhani jamiii yeyote inaeahusisha watoto??? Na tena muondoke humu mapema sana.Humu wahenga ndo wengi
Why single mom? Na wewe single dad au mtu mzima? Kama hujafika hata 30 sahau single momyani mie hata kuzaaa i prefer single mom......ana kipaumbele kikubwa sana kwangu
Mbona mnawaoffend sana wenye umri mdogo..kuwa msafi ni hulka tu,unaweza kuwa 28+ bado ukawa mchafu..Mafua wapeleke huko kwani huko mtaani hawakutani nao mpaka humu, kutafuta vitonga tu sasa 21yr wanini si hata kuoga hajui