Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Heshima kwako Mkuuhhahaah salute
asantee!marahabaaHeshima kwako Mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]asantee!marahabaa
Karibu kwa Shayo ,jpili tulivu tule mdudu km hujafungaππππ
jaman mm ht iweje sitaweza kumla huyo mdudu! nimelelewa kisabato mwenzako...ila wine nagonga!pork NO! alivyo vile!eish!Karibu kwa Shayo ,jpili tulivu tule mdudu km hujafunga
[emoji120] nisamehe kwa hili ,wine kuna Dompo hapa na Dodoma wine ,na mdudu mwenyewe nimemstopisha kwa heshima yakojaman mm ht iweje sitaweza kumla huyo mdudu! nimelelewa kisabato mwenzako...ila wine nagonga!pork NO! alivyo vile!eish!
ukimaliza kula mdudu nitakuja tuungane kwakilaji!...
Dogo siku ingine kabla kuni-quote anza na shikamoo.21 years old na najivinjari tu JF kama senior member
hahahaha haya ni majaribu linapokuja suala la wine!asante endelea kakang na mdudu !ntazuka siku nyingn![emoji120] nisamehe kwa hili ,wine kuna Dompo hapa na Dodoma wine ,na mdudu mwenyewe nimemstopisha kwa heshima yako
Shayo hawakagi haya makitu Hana wateja wahaya makitu
Usijari dada ake ,ukiwa tayari nishtue tuhahahaha haya ni majaribu linapokuja suala la wine!asante endelea kakang na mdudu !ntazuka siku nyingn!
Usijari dada ake ,ukiwa tayari nishtue tu
Habari ya mjini ni 'mapenzi' au pochi nene? [emoji16][emoji16][emoji16]Hakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
Ondoa shaka mkuuDogo siku ingine kabla kuni-quote anza na shikamoo.
Labda twende kufanya 'CambridgeAnalytica' kama ile ya 20-15??[emoji4]Twende fb na wewe
my 1st born ndo ana umri wako!Mm nilijiunga nikiwa 18 yrs f age....
Shikamoo mamamy 1st born ndo ana umri wako!
marahabaaaaaaaaaa mwananguShikamoo mama
Huyo kwenye avatar yako namjua.....πππKama umemzidi sawa.