Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Karibu kwa Shayo ,jpili tulivu tule mdudu km hujafunga
jaman mm ht iweje sitaweza kumla huyo mdudu! nimelelewa kisabato mwenzako...ila wine nagonga!pork NO! alivyo vile!eish!
ukimaliza kula mdudu nitakuja tuungane kwakilaji!...
 
[emoji120] nisamehe kwa hili ,wine kuna Dompo hapa na Dodoma wine ,na mdudu mwenyewe nimemstopisha kwa heshima yako

Shayo hawakagi haya makitu Hana wateja wahaya makitu
 
hahahaha haya ni majaribu linapokuja suala la wine!asante endelea kakang na mdudu !ntazuka siku nyingn!
 
Hakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
Habari ya mjini ni 'mapenzi' au pochi nene? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom