Hahahahaaa... najua unamjua.Huyo kwenye avatar yako namjua.....🙂🙂🙂
Mpe salamu zangu....mwambie nipi nje ya mji kimajukukumu nikirudi tu namtafuta.Hahahahaaa... najua unamjua.
Kasema sawa anasubiri na ile ahadi yake ya kwa kaka AyubMpe salamu zangu....mwambie nipi nje ya mji kimajukukumu nikirudi tu namtafuta.
Yote yatatimizwa na zaidi,tuombe Mungu atujalie uzimaKasema sawa anasubiri na ile ahadi yake ya kwa kaka Ayub
InshallahYote yatatimizwa na zaidi,tuombe Mungu atujalie uzima
Aiseee"" kwa hiyo mantiki yako " nikwamba waliopo Humu wamefuata mapenzi na sio kuhabarika zaidi ..." umri wako na unachokiongea ni sawa sawa kabisaHakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
ha hahahaNjia zangu na zako hazifanani, wewe bado mtoto sana
Shikamoo muhengaKweli
Asante nishaendaPole sana, jiwahishe ukapate tiba mpendwa wangu
Sio sana... yani wakati wao wakisikiliza neno mimi nakula mwili na damu ya mtukukaHeeee uzee nao mtihani, babu wewe kanisani si utakuwa unaenda tofauti na wengine,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo muhenga
Nachekesha eeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuangalia tuNachekesha eeeh
ShikamooNakuangalia tu
Mwenyewe[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Mfyuuuuuuuu
Marhaba