Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Hakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
Aiseee"" kwa hiyo mantiki yako " nikwamba waliopo Humu wamefuata mapenzi na sio kuhabarika zaidi ..." umri wako na unachokiongea ni sawa sawa kabisa
 
Back
Top Bottom