Hakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizoKila mtu anainterests zake humu,kama yako ni MMU na umegundua pamekuloka we timka zako, mkuu Mimi ni under 23 [emoji4][emoji4][emoji4]lakini naenjoy kuvinjali Jamiiforums
Nahisi anatafuta mume...[emoji13] [emoji13]Unatakaa mke
Tatizo vijana wanapenda kulelewa "ben10"wahaenga ndo wanajua kutunza! vijana mbwembwe nyingiiiiii ila hakuna kitu!
Kama ww [emoji23][emoji23]Humu wahenga ndo wengi
Samahani mkuu...Hakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
Njia zangu na zako hazifanani, wewe bado mtoto sanaTwende fb na wewe
Kweli na uona utoto kwenye reply yakoHakuna mwenye hizo interest lakini kama unavojua penye wengi pana mengi. Habari ya mjini ni mapenzi . kama huwazi hayo nahisi unamatatizo
Shule zishafungwa sasa tujioone vitukoNimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.
Mwanaume akitafuta mwenza kigezo umli 28-35
Mwanamke akitafuta mume umli ni 33-40
Kiufupi ni kwamba humu Jf 80% ni wahenga. Vijana wadogo wadogo wapo ila hawatafuti wachumba labda wanakufa na yao moyoni au ndo kuhangaika pm kimya kimya.
Jamani eehh vijana wenzangu age 20-28 humu tutakufa na ugumu bora turudi fb kwa kina mariamu hassani na juma kadala.
Nawasilisha
Dah...umli.com[emoji87] una umri gani?Nimegundua hilo. Maana humu tangia nijiunge sijawahi kuona bandiko la kijana akitafuta mwenza umli chini ya miaka 28.