Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Sio sana... yani wakati wao wakisikiliza neno mimi nakula mwili na damu ya mtukuka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Point yako ni ipi
Humu watu muna miaka mingii... Kila uzi mtafuta mpenzi anahtaji kuanzia miaka 28-40 tena huyu ni mwanamke akitafta mwanaume, jiulize huyu mtu ana linganaje
 
Back
Top Bottom