siku wakikufojia vilemba utaisoma.Heri mimi natoa lift kwa ma sister wa katoliki tu.
Huyo jamaa yako naye yupo too slow...! Yani anashikwana butwaa plus mfadhaiko!? Mjini hapa....! Ooh! Au kakulia Peramiho!?Ilikuwa ghafla na hakutaraji. Alishikwa na butwaa kiasi kwamba watu walipoanza kuzingira gari alipata hofu kutokana na mfadhaiko. Mdada anaongea kwa kujiamini utafikiri katoka naye nyumba ya wageni kikweli. Pale Manzese angekomaa naye angepoteza zaidi ya hiyo Tshs 10,000/=.
Huyo jamaa yako naye yupo too slow...! Yani anashikwana butwaa plus mfadhaiko!? Mjini hapa....! Ooh! Au kakulia Peramiho!?[/
Kasoma hizi hizi za kwetu. Kama ulishawahi sikia afadhali unaweza soma alama. Bt 4 first day, ningumu. Unakuwa unabishana akili yako,
Mvua jamani alikuwa hana uhakika wa siku hiyo maybePole yake, kwa kweli inatakiwa umakini sana katika ishu hiyo ya kutoa lifti, sio kila mtu ni mzuri!