Jamani tuwe serious kuhusu TCU

Jamani tuwe serious kuhusu TCU

mwasambili

Senior Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
151
Reaction score
77
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?

Ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?

Tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha.
 
TCU wana website yao sasa JF inahusikaje?
 
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?
tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha

Yalitoka kweli jana hata mie nimeona chuo alichochaguliwa binti yangu lakini nasikia wameyatoa
 
Jana walitoa.. Mimi binafsi kuanzia saa mbili mpaka saa nne usiku nilikuwa nawaangalizia watu.. Saa sita usiku nilivojaribu tena ndio ikawa inagoma.. ILA NI KWELI KABISA JANA WATU BAADHI WAMEONA MAJINA YAO..
 
Selection zilionekana kabisa. Na mimi niliona selection yangu na ya rafiki zangu kama watano hivi.

Ghafla ikafungwa.
 
Jana walitoa.. Mimi binafsi kuanzia saa mbili mpaka saa nne usiku nilikuwa nawaangalizia watu.. Saa sita usiku nilivojaribu tena ndio ikawa inagoma.. ILA NI KWELI KABISA JANA WATU BAADHI WAMEONA MAJINA YAO..

vp kuhusu mkopo nao
 
Kwa ninavyo hisi mimi yale majina waliyatoa wakiwa hawwjajipanga maana wakani warusha hewani selection wakatoa na tangazo kuwa selection ni tareh 22 nahic walihisi inawachanganya watu ndo maana wakaamua kuyatoa lakini kweli yalikuwepo nafikiri haupo makini sana na hv vitu ndo mana unalaumu.

Try kuwa updated ili uepukane na lawama mkuu ni kweli post wametoa sa tatu ucku sa sita wakaziondoa hata tangazo lao ambalo walikuwa wamelitoa kupitia nacte na tcu nalo halipo sahizi ukilifungua watakwambia under constraction.

Lakini wakati huo huo walio lyk page ya yao facebook watakuwa wamesoma hilo tangazo lote so tungoje kesho nini kitaendelea tutajua.

Lakini ulicho ingea bi sahihi kuwa taarfa ziwe za kweli lakini kuhusu hizo selection taarfa ni ya kweli tatizo ww tu ulishindwa kuwa updated kaka
WATCH OUT
 
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?
tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha

nani akudanganye ww wakat jana majina yalionekana then waka yafungia..wew ndo ujifumze ku post kitu ambacho una uhakika nacho..udanganywe ili iweje? Kua updated ungeliona jina lako mapema..sasa ndo usubir mpka tareh 22
 
Jamani tusaidieni ambao hatujui hayo majina walitoa kwa wale wa form 6 tu au hata walioapply kwa cheti cha diploma yalitoka
 
asiwe m-bishi wengine aamini tumeona kabisa vyuo tulivyo pangiwa, ila baada ya muda ndo hivyo ukicheki unaambiwa "not found".
 
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?
tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha

Watu wengine bna hovyoooooo...sasa ntu si mtu wa kushinda net afu unakuja kulalama hapa....sasa subiri hadi tarehe 22 ndo uone umepangwa TEKU hukoooo
 
Guiz matokeo ya chuo yanakuwa released 22nd sept officialy after the admission board kukutana ubongo plaza.

TCU walifnya makosa kurelease ndo mana yamefngwa. For info visit jamiiforum jukwaa la elimu.
 
Au ya wanabadilshs tena o ni mtu alikuwa anacheza na akili za watu?
 
Jamaa kalala weeeee....kakurupuka anaanza na thread za kulalama. Kuwa mpole. Viongoz wako makini humu ndani....Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom