mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?
tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha
Jana walitoa.. Mimi binafsi kuanzia saa mbili mpaka saa nne usiku nilikuwa nawaangalizia watu.. Saa sita usiku nilivojaribu tena ndio ikawa inagoma.. ILA NI KWELI KABISA JANA WATU BAADHI WAMEONA MAJINA YAO..
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?
tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha
mi mbna niliona kabisa chuo nilichopangiwa
kwa kifupi tu,kwa nini mtu anadanganya au anatoa taarifa isiyo sahihi?
ni faida gani mtu anayoipata anapotudanganya kuwa tcu wametoa majina ya vyuo tulivyochaguliwa?
ninaamini wote tuliopo humu ni waelevu,sasa kwa nini ulidhalilishe jukwaa hili?
tafadhali jamani naomba tuwe sahihi kwa kila taarifa tunayoitoa hapa,na ninaomba kwa yeyote anayetoa taarifa ya uongo kwa makusudu afungiwe
nawasilisha
Watu wengine bna hovyoooooo...sasa ntu si mtu wa kushinda net afu unakuja kulalama hapa....sasa subiri hadi tarehe 22 ndo uone umepangwa TEKU hukoooo
Au ya wanabadilshs tena o ni mtu alikuwa anacheza na akili za watu?