Jamani tuwe serious kuhusu TCU

kila mwaka huwa hivi. ya safari hii ilikuwa na ka ukweli kwa waliowahi maana hata ka page ka tcu na nembo yao kalionekana.

huenda tcu walikuwa kwenye test run jamaa akaidaka link. actually ilikuwa poa sana kabla hawajaishtukia.

wakija officially tcu waje na mpangilio huo katika utafutaji wa wapi mtu kapangiwa ni simple na mzuri - unajijazia index number yako, mwaka ulomaliza, jina la kwanza na la ukoo mashine ina search na kukupa data zote na hasa ya wapi unaenda kusomea na sio kuchukua degree!!!!
 
Bora nyie wa tcu mmechungulia japo kidogo sisi wa nacte ni kimya wameishia kutuwekea tangazo lao
 
WE ARE SORRY.

hayo majina yalileak. na aliyefanya vile hatua na kinidhamu zitachukuliwa juu yake.

TUNATEGEMEA KUTOA MAJINA YOTE NA YA WALE WALIOOMBA KWA SIFA ZA DIPLOMA KUPITIA NACTE tarehe 22/09/2014.
 
WE ARE SORRY.

hayo majina yalileak. na aliyefanya vile hatua na kinidhamu zitachukuliwa juu yake.

TUNATEGEMEA KUTOA MAJINA YOTE NA YA WALE WALIOOMBA KWA SIFA ZA DIPLOMA KUPITIA NACTE tarehe 22/09/2014.

miaka yote mbona yana leak - hao hawajifunzi kwa hatua za nidhamu mnazowachukulia? mwaka jana zili leak kupitia mfumo wa mtandao fulani (jina kapuni) - mlichukua hatua gani ili isijirudie mwaka huu.

yaliyo leak mwaka jana yalibaki na ukweli wake ule ule na hata mwaka huu imani ni hiyohiyo.
 
HATA WALIOHUSIKA MWAKA jana HATUA ZA KINIDHAMU ZILICHUKULIWA NA NIVIGUMU WW KUFAHAMU HILO NI JUKUMU LA TAASISI.

MATOKEO RASMI YANATEGEMEWA KUTOLEWA YOTE NA YALE YA NACTE 22/09/2014.

AHSANTENI
 
HATA WALIOHUSIKA MWAKA jana HATUA ZA KINIDHAMU ZILICHUKULIWA NA NIVIGUMU WW KUFAHAMU HILO NI JUKUMU LA TAASISI.

MATOKEO RASMI YANATEGEMEWA KUTOLEWA YOTE NA YALE YA NACTE 22/09/2014.

AHSANTENI

habari hii kama ni official ibandike website ya TCU in addition to au sivyo haina tofauti na HOAX ya jana kuhusu namna ya ku search waendao vyuoni.
 
MAMBO mengine SIYO YA KUBANDIKA KWENYE WEBSITE.

HILO LA SIKU YA KUTOA MATOKEO TEMBELEA WEBSITE YA NACTE.

AHSANTEN
 
Tangazo liko hapo la NACTE
 
Attachments

  • 1410724562600.jpg
    95.2 KB · Views: 86
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…