Jamani tuwe tunakumbukana hata kwa njia ya barua?

Sasa hapo wote wawili ni wewe? Au mie ndiyo sioni vizuri ? pengine snap ina mtu mmoja!
Labda!
Ingekua photo ina mtu mmoja , maelezoyo yangejitosheleza!
 
picha zako firstlady zina totoz wazuri..kila la kheri uendako
 
Hongera mama. Hivi uko call center ya zain ama voda? Afadhali serikali imekataza haya mavazi ofisini, hawa wakina Asprin walivyo waroho na meno hawana wangekufa mbona. Umetokea, sipati picha wknd unavaaje.
 
Last edited by a moderator:
hilo jicho na lips utaagaje watu kirahisi hivo?
 
Sasa hapo wote wawili ni wewe? Au mie ndiyo sioni vizuri ? pengine snap ina mtu mmoja!
Labda!
Ingekua photo ina mtu mmoja , maelezoyo yangejitosheleza!

ni kweli naomba elaboration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…