Umefika 28 huna mchumba wala boyfriend wa kueleweka. Nilisema wa kueleweka yaani yule ambae uko free kwenda hata kwao na familia yake unaifahamu.
Umempata huyu kaka ni mgeni ndiyo kwanza ameriport kazini mmekutana lunch kumbe ofisi yake si mbali na ya kwako kama mwendo wa dakika 10 tu.
Date ya kwanza tu umebeba mpaka mifupa aliyoiacha kwenye sahani bumepeleka Mlingotini kwa babu.
Baadavya miezi sita jamaa anakuvisha pete ya uchumba. Unakwenda Mlingotini unatoa Asante. Mashost wanakupa hongera unasema ulifunga na kuomba na Mungu smekujibu.
Jamani kuna moto, Mungu hapendi uongo.