Jamani tuwe wa kweli tuweze kuwasaidia na wenzetu

Jamani tuwe wa kweli tuweze kuwasaidia na wenzetu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Umefika 28 huna mchumba wala boyfriend wa kueleweka. Nikisema boyfriend wa kueleweka yaani yule ambae uko free kwenda hata kwao na familia yake unaifahamu.

Umempata huyu kaka ni mgeni ndiyo kwanza ameriport kazini mmekutana lunch kumbe ofisi yake si mbali na ya kwako kama mwendo wa dakika 10 tu.

Date ya kwanza tu umebeba mpaka mifupa aliyoiacha kwenye sahani kumpeleka Mlingotini kwa babu.

Baadavya miezi sita jamaa anakuvisha pete ya uchumba. Unakwenda Mlingotini unatoa Asante. Mashost wanakupa hongera unasema ulifunga na kuomba na Mungu amekujibu.

Jamani kuna moto, Mungu hapendi uongo.
 
Mlingotini Ndo wapi we mdada? Mbona mafumbo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kweli hapo kwenye kubeba mifupa, ndo kwa mtongolee huko wanafanya hivyo au?
 
Umefika 28 huna mchumba wala boyfriend wa kueleweka. Nilisema wa kueleweka yaani yule ambae uko free kwenda hata kwao na familia yake unaifahamu.

Umempata huyu kaka ni mgeni ndiyo kwanza ameriport kazini mmekutana lunch kumbe ofisi yake si mbali na ya kwako kama mwendo wa dakika 10 tu.

Date ya kwanza tu umebeba mpaka mifupa aliyoiacha kwenye sahani bumepeleka Mlingotini kwa babu.

Baadavya miezi sita jamaa anakuvisha pete ya uchumba. Unakwenda Mlingotini unatoa Asante. Mashost wanakupa hongera unasema ulifunga na kuomba na Mungu smekujibu.

Jamani kuna moto, Mungu hapendi uongo.
Yerewiiiii.......
 
Back
Top Bottom