Jamani udom msicheze makida uchaguzi naibu spika

Jamani udom msicheze makida uchaguzi naibu spika

papaa masikini

Senior Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
176
Reaction score
69
Democracy ichukue mkondo wake jamani,hao wazee wa gamba wanatakiwa wajue kua zama hizi wasomi rushwa haina nafasi,watu wanajiamini ndio maana hawataki huo mchezo wenu mchafu wa kutoa rushwa kwenye kila jambo.ni hayo tu ,kila laheri udom wote.
 
Back
Top Bottom