Jamani ufundi gani unalipa?

Jamani ufundi gani unalipa?

Dah swali kama hilo niliwahi kumuliza mjomba wangu akaniambia Uselemara..japo kwa sasa sielewi kama una maslahi zaidi ya lawama..
Nakushauri kama dogo kichwa kinataka elimu msomeshe (Magari)Uselemara na ujenzi nina hakika akiwa na kichwa kizuri atafaulu kwa kazi hizo
 
kusomea kitu kwa sababu kulipa ni tatizo mkuu,kwanza yeye anapenda nini pili anachopenda kinahijika kwa kiasi gan ktk soko.nasema hivi kwakuwa yamenikuta na hasa jamii inayonizunguka.kaa nae chini vzr mjadili kuona interest zake ili asije kukulaum kuwa ulimpeleka asikotaka hasa pale atakapokosa anachokitegemea.mtu asome kwa interest zaid japo ushauri pia huwa muhim,kwa mawazo machache naomba niulize machache ili nijarib kutoa mawazo yang na muono kwa ujumla.kafika level gan ya elim?,anapendelea masomo gan?,ana daraja lipi la ufaulu na jinsia gan?
 
mpeleke akasome mapishi VETA sherehe ni nyingi siku hizi...
habari ya kusoma anachokitaka atakuja kupata kazi asiyoitaka...
read btn line ndugu......
ufundi utamchosha mapishi mzuka!!
 
Back
Top Bottom