kusomea kitu kwa sababu kulipa ni tatizo mkuu,kwanza yeye anapenda nini pili anachopenda kinahijika kwa kiasi gan ktk soko.nasema hivi kwakuwa yamenikuta na hasa jamii inayonizunguka.kaa nae chini vzr mjadili kuona interest zake ili asije kukulaum kuwa ulimpeleka asikotaka hasa pale atakapokosa anachokitegemea.mtu asome kwa interest zaid japo ushauri pia huwa muhim,kwa mawazo machache naomba niulize machache ili nijarib kutoa mawazo yang na muono kwa ujumla.kafika level gan ya elim?,anapendelea masomo gan?,ana daraja lipi la ufaulu na jinsia gan?