Jamani ulabu sio lazima wala sheria

Jamani ulabu sio lazima wala sheria

Mabel

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Posts
1,276
Reaction score
684
Jamaa wawili walienda baa wakawa wanapata ulabu taaratibu na watu walijaaa sana.
Baada ya mda kidogo maji ya dhahabu tayari yalikuwa yamekolea, sasa yakatokea mabishano baina ya wale watu wawili na kusababisha watu wote kutaharuki.

Alisikika jamaa wa kwanza akisema ; "…wewe huwezi kuniambia lolote bwana, kwanza nilisha lala mama yako", jamaa akazidi kusisitiza, "....au unabisha, ehe? Mimi nilisha lala na mama yako". watu wote walishangaa sana.

Ndipo baadae alisikika jamaa wa pili akisema; "….Baba naona wewe tayari umeshalewa, twende nyumbani".
Kumbe wale watu walikuwa baba na mwana (mzazi), watu walipigwa butwaa!

Mambo mengine yanawenyewe jamani!!
 
family.jpg
Shoka moja mbuyu chini.
 
dingi huyu akiongeza bia moja anavua nguo zote

Anaweza akenda zaidi ya kuvua nguo, maana akivua aibu ni yake peke yake, lakini kuna mengine anawezafanya aibu hadi kwa wale ambao bado hawajazaliwa na familia yako.
 
Wazee wengine ni vichwa mpanzi

Maji ya dhahabu siyo mchezo, sijui huwa yanachakachua sehemu gani ya ubongo, hadi kukata network (kwa Vichwa panzi lakini)?
 
Back
Top Bottom