jamani unaangalia vip matokeo ya darasa la saba..?

kanjuki

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
201
Reaction score
85
nimekuwa nikijaribu kuangalia matokeo ya darasa la saba lakini sijafanikiwa kuyaona ,tafadhali anaye elewa anielekeze..!

 
Hayawekwi mtandaoni. Yanabandikwa 'bomani' au kwenye shule husika.
 
Hata mimi nimetafuta sana sijaona. Tunasubiri feedback.
 
huu ni uhuni wa serekali mambo gani sasa haya na sie tuliyekuwepo nje ya nchi inkuwaje?
 
Jaribu kufungua halmashauri husika ndo utayapata, yamekaa kihalmashauri sio kinecta.
 
nimefuatilia nimeambiwa Jumatatu Ndio watayabandika bomani
 
Matokeo ya mwaka huu yametolewa in a very fumble way. Hajataja hata majina ya wanafunzi bora, shule bora wala mikoa bora kama wanavyofanya miaka yote.
 
Naona wanasuburi tuandamane ndo watupe haya matokeo ya kichina, waziri si ameshatangaza kuwa yapo sasa shida iko wapi tena?
 
Haya mabo ya hajabu sana , Dar Chafu, Ujenzi Holela pia matokeo mnashindwaje kuweka hewani wakati wasomi wote mpo hapa, nyenzo zote mnazo, hata kila halmashauri, Ilala, Temeke na Kinondoni warushe, kwanza wamesema wamesahihishwa kwa computer hivyo matokeo yapo digital, ni jambo la ICT dept ya kila Halmashauri ku UPload tu, Hata wewe kijana wa Ilala Meya SLAA "very smart" lakini unashidwa kwenda kisasa, embu fanya mambo...
 
yes kwa hili ilibidi waliangalie kwan kikwazo ninini? bila shaka wanaogopa kuweka madudu yao waliochakachua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…