Jamani Urais ni Mzigo!!

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Katika moja ya hotuba za Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema Urais ni Mzigo na hivyo si kitu cha kukimbilia.Pia alisema Ikulu hakuna biashara yoyote.Lakini siku hizi Urais unatafutwa kwa mbinu nyingi hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010,je ni kwanini hasa?Tuelimishane wana JF.
 
Ni katika nchi zinazonuka RUSHWA ndiko urais unalipa kwani ukiupata kazi kuiba tu na kujenga makasili kijijini kwako! Siku hizi huko Zambia toka bwana short Chiluba atiwe kashikashi na Marehemu Mwanawasa Kazi hiyo sio dili tena; hapa bongo ndio bado dili kwani mafisadi wanalindana!!
 
Tena wanalindana hasa ngoja Pres ajaye mbadilikie hy JK wenu kuanzia hapo itakuwa sio kiherehere cha kugombania ikulu.....
 

Bulesi, Tanzania ni moja ya nchi hizo zinazonuka rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…