Katika moja ya hotuba za Mwalimu J.K.Nyerere aliwahi kusema Urais ni Mzigo na hivyo si kitu cha kukimbilia.Pia alisema Ikulu hakuna biashara yoyote.Lakini siku hizi Urais unatafutwa kwa mbinu nyingi hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania 2010,je ni kwanini hasa?Tuelimishane wana JF.