mic mabawa
Member
- May 25, 2013
- 13
- 22
Wanakuja mkuu lakini kuwa makini na wafanyabiashara wajanja wajanja maana kuna uzi humu mtu aliuziwa Belo la viatu mguu mmoja na la nguo ni mapensi nyanya yasiyovalika tukanyoosha mbavu na kumsikitikia..kila la kheri.Jaman wana JF nikatika kipambana na maisha yetu haya nataman kuanza biashara yamitumba kutoka Dar kwenda mikoa ya kanda ya ziwa.
Je, Kwa makadrio ya mtaji wa kiasi gani naweza anza nao.?
Je, nilitamani kumtumia mtu awe ananisafirishia mi naupokea mzigo nikiwa mikoan vip hii imekaa je?
Vip changamoto za biashara hii? Kwawenyeji na walio na uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hope hakuuziwa na mwana JFWanakuja mkuu lakini kuwa makini na wafanyabiashara wajanja wajanja maana kuna uzi humu mtu aliuziwa Belo la viatu mguu mmoja na la nguo ni mapensi nyanya yasiyovalika tukanyoosha mbavu na kumsikitikia..kila la kheri.
Ni mwana jf alileta kadhia ya rafikiye kuuziwa hayo mafamba kwa wahindi dar,nilikuwa nakutahadharisha tu kuwa makini maana hata wahindi wamekuwa wajanja wajanja Sana.Hope hakuuziwa na mwana JF
Ni mwana jf alileta kadhia ya rafikiye kuuziwa hayo mafamba kwa wahindi dar,nilikuwa nakutahadharisha tu kuwa makini maana hata wahindi wamekuwa wajanja wajanja Sana.