Jamani ushauri kuhusu biashara ya mitumba kutoka Dar kwenda mikoani

mic mabawa

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
13
Reaction score
22
Jaman wana JF nikatika kipambana na maisha yetu haya nataman kuanza biashara yamitumba kutoka Dar kwenda mikoa ya kanda ya ziwa.

Je, Kwa makadrio ya mtaji wa kiasi gani naweza anza nao.?

Je, nilitamani kumtumia mtu awe ananisafirishia mi naupokea mzigo nikiwa mikoan vip hii imekaa je?

Vip changamoto za biashara hii? Kwawenyeji na walio na uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuja mkuu lakini kuwa makini na wafanyabiashara wajanja wajanja maana kuna uzi humu mtu aliuziwa Belo la viatu mguu mmoja na la nguo ni mapensi nyanya yasiyovalika tukanyoosha mbavu na kumsikitikia..kila la kheri.
 
Hope hakuuziwa na mwana JF
 
Back
Top Bottom