Jamani uvumilivu nimeshindwa

Joined
Oct 19, 2016
Posts
86
Reaction score
35
Nisaidieni jamani huyu ni mwaminivu au natapeliwa kimapenzi?yaani mpenzi wangu nikiwa Naye kupeana jamboz tukimaliza tu pesa ukimpa 20000 analalamika bila kushukuru na anakwambia kesho unipe tena ukimpa anahitaji pesa!wakati huo anataka simu ya tach,kodi ya nyumba kulipa biil ya umeme!ukisema huna pesa anakasirika!jamani hii ni mapenzi au ndyo kuchunwa?nifanyaje nimwache wakati nampenda?na ukimkuta na mwanamme anasema alikuwa kaka ke !jamani nisaidieni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] havichekeshi but inabid tu jmn pole mkuu
Umeparamia changudoa
 
hhhhhhh akikuambia 20000 tsh baada ya tendo mwambie una 10000tsh au 5000 tsh akikataa mwache
 
wanaume wa dar mnachoshaa saa 20 nayo elaaa hiyo si tip ya kuwapa ma bar tender au??hiv mtu akukuruke masaa 3 umchafue,umninginize alafu umpe 20000 kama ni mm nakupiga za uso
 
Unaliwa wewe!bado unazubaa zubaa?!jiongeze mtoto wakiume!wanawake kwani wameisha?kama unataka kujiua mwenyewe mchunguze!
 
Weka mkataba,ujue unakula kwa bili ya Tsh ngapi.
Hohoooo pole tho
 
Unajiita jeshi la mtu mmoja afu unashindwa kudili na vitu vidogo namna hiyo
 
Kama unampenda endelea kukaa nae ngozi ikiisha kuchunwa utarudi kwenu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…