jeshi la mtu moja
Member
- Oct 19, 2016
- 86
- 35
Nisaidieni jamani huyu ni mwaminivu au natapeliwa kimapenzi?yaani mpenzi wangu nikiwa Naye kupeana jamboz tukimaliza tu pesa ukimpa 20000 analalamika bila kushukuru na anakwambia kesho unipe tena ukimpa anahitaji pesa!wakati huo anataka simu ya tach,kodi ya nyumba kulipa biil ya umeme!ukisema huna pesa anakasirika!jamani hii ni mapenzi au ndyo kuchunwa?nifanyaje nimwache wakati nampenda?na ukimkuta na mwanamme anasema alikuwa kaka ke !jamani nisaidieni