Jamani Vipi Hali ya Vengu?

duuu jaman hiv vp hali yake kwa sasa
 
Mkuu mambo ya touch nini hayo maana daaaa!!!
 
Reactions: amu
Mkuu mambo ya touch nini hayo maana daaaa!!!

Ndugu yangu we acha tu hizi simu majanga tunazipenda ila ndo balaa yale ya kumusms boss "boss umelalwa??"badakla ya umelala
 
Unacheka nini sasa??
mwenzio nimeipitia kuisoma hiyo post yangu juu nimecheka balaa michapio kibao nakumbuka that week nlichezea setting ilikuwa majanga sana.

Jamani amu siruhusiwii kucheka humuu! !!!!nakumbuka kuna rafiki yangu nae alikua anaenda sehemu alivyofikaa akamtumiaa mwenyeji wake sms "NIMEFIRA"badala ya nimefika akajibiwaa HEEE UMEFIRA NANI LEO !!!nilicheka mpaka nikapelekwa hospitaliii!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…