Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
Huyu mzee ana kisukari muda mrefu!! Huenda hili likawa moja ya sababu, pia na uzee; bila kusahau choka mbaya ya fweza!!!
Ukiona mtu mzima analialia ujue mamba yamefika shingoni, aliomba CCM wasiweke mtu Vunja, wamuachie...:smile-big:
mna maana wanene ndio wenye afya na wembamba ni wagonjwa? Mimi nafikiri kinyume chake
Sina nia ya kuchimba mtu kwa saana, lakini picha za hivi karibuni za huyi Muhishimiwa Mrema naona kama mzee kazoofu hivi ama macho yangu tu?
kuna jamaa alimpeleka Mrema oceanic akamnunulia bata Mrema alifurahi sana ikabidi jamaa amuagizie na take away. sasa najua atakuwa anaenda pale mara kwa mara kwa ajili ya bata.huyo akiingia saluni ya maana akapigwa sopsop halafu akawa anahudhuria mnadani kwa ajili ya dozi ya michemsho daily, hasa ule wakati wa bunge la bajeti, wiki 3 tu mtaona anatoka shavu dodo
Mzee Mwinyi afya yake ya wastani kwa umri wake (84 years?). Na yeye anafanya mazoezi ya nguvu na ana nidhamu kweli.
Kuna kipindi nilikuwa Zenj na yeye alikuwepo huko kila asubuhi alikuwa anapita na bodigadi wake pale mbele ya nyumba niliyokuwa naishi amepiga tracksuit yake anatembea kimazoezi.
Kwa hiyo nimempa heshima yake.