jamani vipi kuhusu walimu waliokosa ajira 2013?

jamani vipi kuhusu walimu waliokosa ajira 2013?

miemwenye

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
31
Reaction score
0
habari zenu wana jf, naamini kabisa hapa ni mahali salama na pa kistaarabu kuuliza jambo hili,naomba mwenye taarifa anijulishe serikali imefikia wapi kuhusu mchakato wa kuwapatia ajira walimu waliokosa ajira hizo mwka huu 2013.natanguliza shukrani zangu.
 
Back
Top Bottom