Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi

mkuu kunahaja ya kutafuta jinsi nyingine ya kugoma lakini hii itafanya vizaliwe vichwa vingi vya aina ya jk na kitu ambacho hatutaki!
hapo umenena mkuu,sasa watumie mbinu gani???mimi naona wangewatumia wanafunzi kugoma badala yao,labda itasaidia,itabidi wawaeleze wanafunzi wote madhara wanayopata kisha wanafunzi walianzishe, hapo wala hakutakua na mabomu wala risasi wala virungu.
 
don't do that teachers-kumbuka kugoma kwako italeta impact kubwa hasa kwa taifa na umaskin utaongezeka kwa kiwango cha juu,the only option u have-just wait 2015 and make the right decision, your vote will determine your future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…