Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Walim mna hali ngumu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo umenena mkuu,sasa watumie mbinu gani???mimi naona wangewatumia wanafunzi kugoma badala yao,labda itasaidia,itabidi wawaeleze wanafunzi wote madhara wanayopata kisha wanafunzi walianzishe, hapo wala hakutakua na mabomu wala risasi wala virungu.mkuu kunahaja ya kutafuta jinsi nyingine ya kugoma lakini hii itafanya vizaliwe vichwa vingi vya aina ya jk na kitu ambacho hatutaki!