Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi

Jamani waalimu wenzangu, nafikiri hili litatufaa zaidi

semako

Senior Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
102
Reaction score
6
Kutokana na madai yetu kupigwa kalenda kila mara tugome kisaikolojia,kama una vipindi 50 fundisha 4 tu kisha nenda katafute mahali pengine;Kumbuka kisingizio cha ugaidi ndio sababu ya kuzuia maandamano.
 
ukifika kwa darasa toa exercise swali moja then unayeya halafu tuone nani zaidi?
 
ukifika kwa darasa toa exercise swali moja then unayeya halafu tuone nani zaidi?

mkuu kunahaja ya kutafuta jinsi nyingine ya kugoma lakini hii itafanya vizaliwe vichwa vingi vya aina ya jk na kitu ambacho hatutaki!
 
Fanyeni anzeni kufundisha somo linaloitwa CCM wanyonyaji,wafundisheni watoto kuichukia CCM.
 
mkuu kunahaja ya kutafuta jinsi nyingine ya kugoma lakini hii itafanya vizaliwe vichwa vingi vya aina ya jk na kitu ambacho hatutaki!

nadhani ndo itakuwa powa maana serikali haioni umuhimu wao! hawajui kwamba walimu ndo CPU
 
Fanyeni ule mgomo mdogo mdogo wataona tu
 
Njoo private school ndugu....acha woga coz ni ngumu kugoma na primary school teachers.
 
ukifika kwa darasa toa exercise swali moja then unayeya halafu tuone nani zaidi?

Tangu lini waalimu wa bongo wakagoma? Tatizo ni kwamba hawatambui nguvu yao, hivyo wanaishia kufa na tai zao shingoni
 
Back
Top Bottom