Jamani wababa kulikoni?

Mama ndo anashinda muda mwingi na mtoto. Ana huruma na ukiwa na tatizo anaumia pamoja nawe. Nani kama MAMA?
 
Kuna mtoto wa jirani yangu alimwita kijana anaye waletea maziwa asubuhi baba
baba anaondoka nyumbani mtoto amelala anarudi mtoto amelala
Upendo kwa mama lazima
angalia mtetea na vifaranga vyake mvua ikinyesha ndani ya mbawa zake jogoo yuko wapi?
Akina baba hufanya hivo kwa ajili ya nani?
 

mmh! Mbona me naic baba hapewi nafac kubwa sababu muda mwingi ana dedicate kwa small house or smtym anaitelekeza completely nyumba yake. Ndo mana hatuwapendi
 

jamani hizo homoni mpaka ukubwani ambapo tayari tunajua baya na zuri? C matendo yao mabaya ndo yanayotuweka mbali nasi?
 

kwa hiyo wamama wanahuruma eheee?
 
Marytina;1792278]Ndio wote tunawaheshim ila from childhood kunyonyeshwa na mama kunatengeneza bond isiyovunjika milele
Mtoto akilia akipokewa na mama mtu hunyamaza compared to baba mtu (ukubwani tunafake love na kutumia ubongo ila utotoni ambako ni mahala pazuri pa kuonesha mama zaidi)



Kwa baba yako wewe unafake love? Kwangu mimi Nampenda mama na nampenda baba na upendo wangu kwa baba siyo wa kufake ni real love.
 

Sio mara zote ingawa ni mara Nyingi. Mapenzi huja kwa effectionate ambayo mama ana advantage kubwa kwa sabau ya mazingira. muda wote wakati wote mama yupo reponsible na domestic issues ambazo hizo ndo hujenga ukaribu wa mtoto na mzazi. Kwa hiyo naturally Mama atakuwa na chance zaidi na kingine amabcho ni nature ya wanawake ni Kupendwa so mara nyingi ktk kusihi mama hujaribu Kujipendekeza kwa mtoto ili apendwe maana ndo nature yao haina jinsi na haikwepeki. Sema wa mama wengine balaa bora ya Mshua!!
 
 
Connection ya mama na mtoto inaanza toka tumboni. Ile bond inayotengenezwa haiwezi kubreak kwa reaction yoyote.
 
hii thread imerudiwa???

"Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako." ss anayemuheshimu mama peke yake amri ya 5 inajieleza!!!

Ya tano inajieleza! Wengine hauijui tuelimishe inasemaje!
 
Wengi walosema kwenye KMA2011 ni wasanii wa kiume! Kuna yule binti alisema "nawashukuru wazazi wangu". Wa kiume walidedicate kwa mama zao! Sishangai maana kwenye formula za sasa ni cross multiplications. Mzee hii suti nzuri sana umenunua wapi..................eeeeeeeh unajua bana yule binti yangu anayefanya kazi PPF ndo kaninunulia! Tupo pamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…