wabunge wetu hawakereki manake wanajua hawana haja ya ku deliver kwa sababu ikifika siku za uchaguzi ccm itachota pesa bot na kuhakikisha wao wanachaguliwa tena.
as long as sera za chama haziwashurutishi wabunge kuwa attentive bungeni, tusitegemee miujiza
Tanzania inakera nyie!!!Mngesikiliza Bungeni leo au kwa wanaoona live natumaini wamejionea upuuuzi mwingine
wabunge wa chama changu wanasimama na kumpongeza mkulo kwa uozo wa ufeki wa vitabu vya bajeti, halafu mbunge mmoja ndo katoa kali zaidi anamshauri mkulo asikose usingizi na akiweza aendelee kutengeneza watoto (wazembe) asisikilize kelele za wapinzani.
Nakubaliana na signature ya mwanabodi mwenzetu kuwa IPO SIKU SHETANI ATASEMA ANAONEWA NA WATANZANIA WATAPIGA MAKOFI......
Naunga mkono hoja ya tuandamane mia kwa mia (wanafiki wasema ndiooooooo)
Wewe lazima wapige story wanahadithiana jinsi jana yake walivyoserebuka club na kuchukua vimwana sio ajabu kipindi cha bunge biashara ya ukahaba inashamiri Dodoma.hii nchi inatakiwa iendeshe kimabavu kwa miaka 30 hivi, suspend siasa zote, nyonga mafisadi wote, lakini ndo hivyo haiwezekani maana kwa dunia ya sasa utatengwa kuliko north korea
Labda Tuandamane tuchukue ushauri wako kuwa tuandamane!
Jibu la kwa nini wabunge wengi hawakuweza kuishtukia bajeti feki.
Labda Tuandamane tuchukue ushauri wako kuwa tuandamane!
Mngesikiliza Bungeni leo au kwa wanaoona live natumaini wamejionea upuuuzi mwingine
wabunge wa chama changu wanasimama na kumpongeza mkulo kwa uozo wa ufeki wa vitabu vya bajeti, halafu mbunge mmoja ndo katoa kali zaidi anamshauri mkulo asikose usingizi na akiweza aendelee kutengeneza watoto (wazembe) asisikilize kelele za wapinzani.
Nakubaliana na signature ya mwanabodi mwenzetu kuwa IPO SIKU SHETANI ATASEMA ANAONEWA NA WATANZANIA WATAPIGA MAKOFI......
Naunga mkono hoja ya tuandamane mia kwa mia (wanafiki wasema ndiooooooo)
hii nchi inatakiwa iendeshe kimabavu kwa miaka 30 hivi, suspend siasa zote, nyonga mafisadi wote, lakini ndo hivyo haiwezekani maana kwa dunia ya sasa utatengwa kuliko north korea
Lack of seriousness in the parliamentary proceedings is endemic. Bunge la walio siriasi huwezi kukuta watu wanacheka-cheka kwa mambo yasiyofurahisha.
In fakti, hata michango mingi ya hao waitwao wana CCM ni blunt and of no value money paid to these people. Inafikia mtu anasimama anatoa mchango wa bajeti, haeleweki, na akiona hapigiwi makofi anaishia kueleza uaminifu wake kwa chama cha mapinduzi, Basi!
Korea wabunge waliwahi kutwngana makonde, kenya pia waliwahi kutishiana bakora, hapa kwetu wameishia kuvaa suti za mikono mifupi kama wacheza ndombolo.
Tatizo ni process inayotumika kuwaweka madarakani na ni ipi mbinu ya kuwaondoa. Siyo mbunge tu hata Rais. So called mcahakato, una udhaifu kiasi kwamba unaruhusu hata bingwa wa kucheza mayenu apenye na kuwa kiongozi na akisha kuwa. hakuna hatua rahisi ya kumuondoa.
Hivi kweli unaamini kwamba hao watu wanasoma yaliyomo ktk submission za bunge? Labda Slaa.
Jibu la kwa nini wabunge wengi hawakuweza kuishtukia bajeti feki.
ni kweli kabisa, unakumbuka Anne Kilango wakati anamwaga cheche wakati ana changia ishu ya richmond alipowaaambia wabunge kuwa hakulala alikuwa akisoma report ya mwankyembe na kuwa wao hawajui sbb hawajasoma, wote walisinyaa na kunode vichwa vyao kwa kukubaliana nae...... wengi wako pale kama picnic tuu.. hawana kitu....Ndugu yangu percentage (%) ya wabunge wanaosoma makabrasha ni ndogo sana!!! probably less than 5%, Mimi sishangai...
...hivi zile allowance waliongezewa vile?
Kwenye magazeti ya jana au juzi kuliwa na habari za ziara ya wabunge wa kenya huko Dodoma.
Wabunge wa TZ walichokuwa mstari wa mbele kuwauliza wenzao wa Kenya ni kuhusu ...... MARUPURUPU wanayopata huko kwao !!