Lack of seriousness in the parliamentary proceedings is endemic. Bunge la walio siriasi huwezi kukuta watu wanacheka-cheka kwa mambo yasiyofurahisha.
In fakti, hata michango mingi ya hao waitwao wana CCM ni blunt and of no value money paid to these people. Inafikia mtu anasimama anatoa mchango wa bajeti, haeleweki, na akiona hapigiwi makofi anaishia kueleza uaminifu wake kwa chama cha mapinduzi, Basi!
Korea wabunge waliwahi kutwngana makonde, kenya pia waliwahi kutishiana bakora, hapa kwetu wameishia kuvaa suti za mikono mifupi kama wacheza ndombolo.
Tatizo ni process inayotumika kuwaweka madarakani na ni ipi mbinu ya kuwaondoa. Siyo mbunge tu hata Rais. So called mcahakato, una udhaifu kiasi kwamba unaruhusu hata bingwa wa kucheza mayenu apenye na kuwa kiongozi na akisha kuwa. hakuna hatua rahisi ya kumuondoa.
Hivi kweli unaamini kwamba hao watu wanasoma yaliyomo ktk submission za bunge? Labda Slaa.