Jamani wabunge this is too much....

Jamani wabunge this is too much....

Jamani Na Ule Unga Unga Utolewe Maamuzi Ili Tujuwe Moja!
 
Tufanye Upembuzi yakinifu hasa kwenye mambo muhimu kama haya mjadala wa budgeti na mengineyo ili 2010 tuwahukumu wale ambao tuliwaona si wenzetu.

Pia wale waliopitisha bajeti ya kifisadi na kichawi wana yao mambo!
HAO WASIPEWE KULA!
 
Je wabunge wa upinzani ambao si maarufu wanalala nao?

Haika...Jibu ni hilo hapo chini!

Tunaomba majibu ya "UNGA UNGA" TAFADHALI!


attachment.php
 
Back
Top Bottom