Jamani wadau wa elimu naomba ushauri na msaada wenu....

Jamani wadau wa elimu naomba ushauri na msaada wenu....

FESTO HENRY 1994

New Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Mimi ni kijana niliye maliza kidato cha nne mwaka huu, na matokeo yangu ni kama ifuatvyo, D-civ, D-hist ,D-kisw ,D-eng na nyenginezo ni F, kwa maana ni four ya 31, sasa kama cheti changu kipo hivyo je naweza kupata chuo chochote cha sheria, na utaratibu wa vyuo vya sheria upoje pamoja na ada zao, na oia vipo sehemu gani hapa nchini yaani wapi na wapi, kama mtu anafaahamu anaweza kunifahamisha kupitia njia zifuatazo za mawasiliano=

FACEBOOK- Festo henry msangawale ani inbox,
Yahoo mail= festohenrymsangawale@yahoo.com.
au anitumie sms kwa namba 0717470863.
au hata humu humu jamii forum jamani naombeni msaada wenu hata cjui nitaenda wapi...
pia unaweza kunipata twitter Festohenry
asanteni:biggrin:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom