N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Sep 3, 2013 #1 Nime chati na Wananacte wana sema hivi kama wewe umekuwa niwa 3rd selection unaweza kubadili course
bily JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 8,029 Reaction score 5,796 Sep 3, 2013 #2 Andika vizuri ueleweke mfano; umepangwa chuo gani? kozi gani? ulikua unataka ukasome nini ukiuliza hivi unaweza ukasaidiwa kirahisi mkuu.
Andika vizuri ueleweke mfano; umepangwa chuo gani? kozi gani? ulikua unataka ukasome nini ukiuliza hivi unaweza ukasaidiwa kirahisi mkuu.