Jamani wadau wa Jf inawezekana kubadili course

Jamani wadau wa Jf inawezekana kubadili course

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
Nime chati na Wananacte wana sema hivi kama wewe umekuwa niwa 3rd selection unaweza kubadili course
 
Andika vizuri ueleweke mfano; umepangwa chuo gani? kozi gani? ulikua unataka ukasome nini ukiuliza hivi unaweza ukasaidiwa kirahisi mkuu.
 
Back
Top Bottom