JAMANI WAKIRISTO NA WASIOKUWA WAISLAM. MNASUBIRI NINI?

JAMANI WAKIRISTO NA WASIOKUWA WAISLAM. MNASUBIRI NINI?

1. Maisha ya Waislamu Baada ya Kufa

Kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi, Waislamu waumini wenye matendo mema wanapokufa hupata neema katika hatua zifuatazo:

a) Kaburi na Barzakh

Waislamu waumini hupokea bishara njema ya Pepo wakati wa kufa:
Qur'an 41:30-31
“Hakika wale waliosema: Mola wetu ni Mwenyezi Mungu, kisha wakanyooka, Malaika huwashukia (wakisema): ‘Msiogope wala msihuzunike, bali furahini kwa Pepo mliyokuwa mkiahidiwa. Sisi ni walinzi wenu katika maisha ya dunia na Akhera...’”

Katika kaburi, waumini hupewa starehe, huona sehemu yao Peponi, na hupata usingizi mtamu kama wa maharusi. (Hadithi ya Muslim)


b) Siku ya Kiyama na Hisabu

Mwenyezi Mungu atawahurumia waumini na kuwapima kwa mizani ya haki:
Qur'an 99:7-8
"Basi mwenye kufanya wema sawa na chembe, atakiona. Na mwenye kufanya uovu sawa na chembe, atakiona."

Baada ya hesabu, waumini wataingizwa Peponi kwa rehma ya Allah.


c) Pepo

Pepo ni makaazi ya starehe ya milele kwa waumini:
Qur'an 2:25
"Na wabashirie wale walioamini na wakatenda mema kwamba wao watapata Bustani zipitazo mito kati yake. Kila watakapopewa matunda humo watasema: ‘Haya ndiyo tuliyopewa zamani.’"

Pepo ina neema nyingi kama mito ya maziwa, asali, na maisha ya furaha ya milele. (Qur’an 47:15)



---

2. Maisha ya Wasiokuwa Waislamu Baada ya Kufa

Kwa wale waliomkufuru Mwenyezi Mungu na kukataa uongofu, Qur'an na Hadithi zinaeleza mateso makali yanayowakabili:

a) Kaburi na Barzakh

Wasiokuwa Waislamu hupokea adhabu kali kaburini: Qur'an 40:46
“Moto unawaonyeshwa asubuhi na jioni, na siku itakaposimama Saa (ya Kiyama), itaambiwa: 'Waingizwe watu wa Firauni kwenye adhabu kali zaidi.'”

Malaika wa adhabu huwajia na kuwatesa kaburini, wakiona sehemu zao motoni. (Hadithi ya Bukhari na Muslim)


b) Siku ya Kiyama na Hisabu

Wale waliomkufuru Mwenyezi Mungu watakuwa na hofu na majuto: Qur'an 18:100-101
“Na siku tutakapowaonyesha Jahannam makafiri waziwazi, wale ambao macho yao yalikuwa yamefunikwa na ukumbusho wangu, na hawakuwa na uwezo wa kusikia.”

Mizani yao itakuwa nyepesi, na watahukumiwa kuingia Motoni milele.


c) Moto wa Jahannam

Jahannam ni makazi ya milele ya wale waliokufuru: Qur'an 4:56
“Hakika wale waliokataa Aya zetu, tutawachoma moto; kila ngozi zao zitakapoungua tutawabadilishia ngozi nyingine wapate kuonja adhabu.”

Wataishi motoni milele, wakilia na kusihi waondolewe adhabu, lakini hawatasamehewa. (Qur’an 35:36)

MNASUBIRI NINI TENA NDUGU ZETU WA IMANI?
Kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi, Waislamu waumini woote finnar jehannam halidina fiha ABADAN hamtoki humo tutubwi🔥
👇🏽👇🏽
وَاِنْ مِّنْكُمْ اِلَّا وَارِدُهَاۚ كَانَ عَلٰى رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّاۚ ۝٧١
wa im mingkum illâ wâriduhâ, kâna ‘alâ rabbika ḫatmam maqdliyyâ

[Suratul mariam.71]
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

Hadithi hii hapa na Quran!
👇🏽👇🏽
يَوْمَ نَقُولُ لِجَهَنَّمَ هَلِ امْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِن مَّزِيدٍ

(QAAF - 30)
Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?

Sahih al-Bukhari 4848
Anas alisimulia:

Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Watu watatupwa Motoni na itasema: Je! (50.30) mpaka Mwenyezi Mungu aweke mguu wake juu yake, na itasema: Qati! Qati! (Inatosha!)'"

حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنَنْ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هٍََى َمِنَّ. يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Rejea: Sahih al-Bukhari 4848
Rejea ya ndani ya kitabu: Kitabu cha 65, Hadithi ya 369
Vol. 6, Kitabu cha 60, Hadithi ya 371
 
Qur’an 67:3-4
"Aliyeumba mbingu saba kwa matabaka. Hutaona tofauti yoyote katika uumbaji wa Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema. Basi rudisha macho yako, je, unaona hitilafu yoyote?"
Hujathibitisha, unahubiri.

Thibitisha.
 
Back
Top Bottom