Jamani wale wa Dit vipi?

Jamani wale wa Dit vipi?

furaha2008

Member
Joined
May 31, 2012
Posts
24
Reaction score
0
Wadau niaje naombeni msaada kama kuna m2 anaselection za dit,mist au arusha tech azi2pie jamvini mana daaaaaa nina mzuka wa kujua nilipo2piwa. Natanguliza shukrani kwa wana jamvi
 
Back
Top Bottom