Jamani walimu aliyepata waraka wa serikali kwa waajiriwa wapya hususani walimu!

kumbe mnalipwa vzr,nimeona mahali flan wahasibu wenye shahada wanalipwa 350000tsh.

Halafu issue nyingine sio kulipwa inategemea na mipango ulojiwekea 7bu unaweza ukawa unalipwa 1mil lakn still usiwe na mipango mizuri ya kimaisha na mtu mwenye hyo laki4 akakuzidi kimipango
 
Mipango sio matumizi
 
Ndugu zangu leo hii tar 25 febr nimeenda CWT makao makuu nimewauliza maswali kadhaa na zaidi bwana mmoja akaniambia ngoja aniitie assistant Head of Advocacy mh Florence M Burudaa yafuatayo aliyajibu: Tulimuuliza je hela ya kujikimu ya sasa ni ya muda gani ambayo inatolewa? Akasema hela inayotolewa niya siku 7 kutegemeana na eneo ulipo
Pia aliulizwa mwl anatakiwa kusafirisha mizigo kiasi gani? Akasema ni Tan moja na nusu na kila 1km unatakiwa watulipe sh 1000,kwa hyo tumepewa maelezo mengi sana kadhalika wakasema tukifika huko tuendako twendeni ofisi za CWT watatupatia huo waraka kwa sasa bado haujawafikia kwa ujumla jamaa wametuckiliza vizuri sana,kadhalika wakanipatia na katiba ya CWT so kama una swali uliza hadi namba za mawakili wa cwt ninazo,ndio hayo kwa uchache

gud newz blaza,ingawa waliopita walilipwa siku 14!sisi sijui kwanini wamepunguza kihasi hicho.
 
Hapo kwenye mizigo bachela wa kike au wakiume mwaka jana alikua anifidiwa mizigo ya tani 3,alafu mwenye familia tani 5,naona na penyewe wamepunguza.Hebu niambie ofice zao zinapatikana maeneo gani,kila mkoa.Mimi nataka niwatafute j4 mkoa wa pwani.
 
Ndugu zangu leo hii tar 25 febr nimeenda CWT makao makuu nimewauliza maswali kadhaa na zaidi bwana mmoja akaniambia ngoja aniitie assistant Head of Advocacy mh Florence M Burudaa yafuatayo aliyajibu: Tulimuuliza je hela ya kujikimu ya sasa ni ya muda gani ambayo inatolewa? Akasema hela inayotolewa niya siku 7 kutegemeana na eneo ulipo
Pia aliulizwa mwl anatakiwa kusafirisha mizigo kiasi gani? Akasema ni Tan moja na nusu na kila 1km unatakiwa watulipe sh 1000,kwa hyo tumepewa maelezo mengi sana kadhalika wakasema tukifika huko tuendako twendeni ofisi za CWT watatupatia huo waraka kwa sasa bado haujawafikia kwa ujumla jamaa wametuckiliza vizuri sana,kadhalika wakanipatia na katiba ya CWT so kama una swali uliza hadi namba za mawakili wa cwt ninazo,ndio hayo kwa uchache

Hivi hata upakie kijiko kwenye gari ya tani 1 na nusu akisafirishe mwendo wa km 1 atakubali buku?.....Mwaka jana ilikuwa tani 5*km1*1000 yaani badala ya kupanda inashuka?
 
kumbe mnalipwa vzr,nimeona mahali flan wahasibu wenye shahada wanalipwa 350000tsh.

Tatizo mazingira ya ualimu unaishi kwa % kubwa kutegemea huohuo mshahara ila kazi nyingine mtu yuko kwenye mazingira ya kutengeneza hela ndefu nje ya mshahara hata kama mshahara wake unaosemeka ni mdogo.
 
Hapo kwenye mizigo bachela wa kike au wakiume mwaka jana alikua anifidiwa mizigo ya tani 3,alafu mwenye familia tani 5,naona na penyewe wamepunguza.Hebu niambie ofice zao zinapatikana maeneo gani,kila mkoa.Mimi nataka niwatafute j4 mkoa wa pwani.

Mkuu labda nikupe namba ya simu ya Advocate wa cwt makao makuu hapa Dar then atakuelekeza 0754576488,0718993492 na 0779786018 anaitwa Florence Burudaa hana tatizo kabisa,kwa maeneo hayo cna uzoefu napo
 
Hivi hata upakie kijiko kwenye gari ya tani 1 na nusu akisafirishe mwendo wa km 1 atakubali buku?.....Mwaka jana ilikuwa tani 5*km1*1000 yaani badala ya kupanda inashuka?

Ni kweli watakupa ilimradi ukumbuke ulitumia anuani ipi kwa sababu ndio wanayoitizama then wanakuja kwenye km,alivyosema yule Advocate ni kwamba ukifika kituoni hawanaga muda wa kutizama au kukagua mizigo ulokuja nayo,ndio hayo mkuu
 
Back
Top Bottom