devis kyunja
Member
- Aug 10, 2017
- 40
- 40
Ndoa mbona haina gharama mkuu, nendeni mkafunge ndoa mrudi nyumbani
Mbona haina shida mkuu.tafuta mdhamini kafunge ndoa yenu mkuu.viongozi wa kanisa au msikiti watakupongeza sana kwa kutimiza amri za Mungu.Au umemaanisha harusi,labda sijaleawa uzi wako!Seen!