Jamani wana jamii mchango mnisapoti natarajia kufunga ndoa

Jamani wana jamii mchango mnisapoti natarajia kufunga ndoa

Hapa ndo utajua madhara ya ule msemo usemao"Pambana na hali yako"

Nilileta Uzi wakuupinga msemo huo.Ila usijali mkuu watakuja.
 
Mkuu kama ulikua mchangaji sana huko mtaani kwa ndugu, jamaa na marafiki na wewe utachangiwa ila kama ulikua ukiambiwa kuhusu michango unakimbia na hali hii ilivyo ngumu pambana tu na hali yako
 
Kwa zamu hii za kuisoma namba usipoteze muda wako kufanya harusi, jipange zako kuoa kimya kimya kwa kwenda kanisani au msikitini au bomani na kufunga ndoa bila mbwembwe. Kwa hakika hautajuta kabisa.

Maisha yameshakuwa magumu sana, watu hawana pesa hata ya kula, mbwembwe hazina nafasi tena.
 
Vyuma vimekaza mpaka umebuni mradi wandoa, ukitaka mchango rusha picha yako na mwenzi wako na nakala zenu za vitambulisho vya taifa na kanisa na siku mtakayofunga ndoa binafsi ntachanga ili mkitapeli tuwashtaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
72513f6a31047dbaa9411f4c18ae0edd.jpg
 
Back
Top Bottom