Jamani wana jamii mchango mnisapoti natarajia kufunga ndoa

Jamani wana jamii mchango mnisapoti natarajia kufunga ndoa

Utanitumia namba yako ya simu nione kama ninaweza kukupa hata kilo ya maini... Utume kwenye sanduku la posta 1793 Masumbwe.
 
kweli kuna neno unatafuta kuambiwa humu, wengine ni survivalists wa july ambao hata uhakika wa kubaki jijini hatuna uhakikanao wewe unaleta habari za mchango wa harusi dah!
 
Back
Top Bottom