Mim nilidhani mama kaingiza kidume chumbani,yaan kuongea na simu ndio mtu agonge geti mtu asisikie hadi watu waruke ukuta.
anyway, time heals everything,hana haja ya kulipa kisasi kinaweza kumfikisha pabaya,yeye atulie tu atakuja kusahau.
Ila dowezi anasema mama alikua na msimamo,sasa na hii naisubiri kwa hamu hiyo siku inaingiaje ingiaje ktk hii movie.