hapa mbona kamaliza kila kitu? Ushauri upi anataka kama alishakutana na dowezi wakaongea kisha akamwambia atimue? Kama ameshasamehe mi sina ushauri ila afahamu kuwa alikuwa anaibiwa maneno mengine yote ya humo yalikuwa ya utetezi.
Inawezekana huyo mke wa jamaa alimpigia na kumwambia dowezi kuwa alijiteteaje na yeye ajitete vivyo hivyo ili kutengeneza costistency kwenye mazungumzo na kuondoa doubt kwa aliyeibiwa. Nachukia matendo ya namna hii ila sijui kwa nini watu wanaendekeza ...
Mim nilidhani mama kaingiza kidume chumbani,yaan kuongea na simu ndio mtu agonge geti mtu asisikie hadi watu waruke ukuta.
anyway, time heals everything,hana haja ya kulipa kisasi kinaweza kumfikisha pabaya,yeye atulie tu atakuja kusahau.
Ila dowezi anasema mama alikua na msimamo,sasa na hii naisubiri kwa hamu hiyo siku inaingiaje ingiaje ktk hii movie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.