Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
Duh mapenzi kizunguzungu hajafichiki popote
Jana kasema ataweka Contact jamvini ..tukong'oli direct
Mwambie tutammiss sana kwa hichi kipindi cha mpito
Asante shemeji
Hahaha! Kijana wewe bana😀😀! Naona unaweka ulinzi kiaina.
Nway, Thank God its friday.
Msalimie sana mwambie nammisi kinoma.
Ngoja nimwendee hewani. Will be back shortly.
matatizo ya it yanafumua siri zingine.......
Ingependeza kama angetuambia aina ya matatizo yanayo mkabili kuna wataalamu hapa wanaweza kushauri na tatizo likapata ufumbuzi, binafsi nitakimiss sana kidole mdomoni kwenye avatar ya mwanzo. Anyway tunakuombea uyashinde matatizo hayo ya IT na urejee ASAP.
Pole Dada!! Sina cha kukuambia.. NITAWAOMBEA..
Dah kumbe kuna umuhimu wa kuwa na mwakilishi eeeh
tabu ya kuolewa na lijendi hata nikikosekana sidhani naweza kumtuma aje awape salam
Pearl twiniushka am moved with wat AK -47 has done for you!!
Mis u big here!!
pearl sayz:
hey Twinushka"u dnt no how much I will real miss u darling,ur my every dei life swty,yani with JF am a prisoner forever,nakumiss na nakupenda sana mpz,shemeji yako anawakilisha tu usijali ananitumia mails hapa n nina directly repl just put ur trust ans always count on him hata kama ukikosa chapaaa!
Ingependeza kama angetuambia aina ya matatizo yanayo mkabili kuna wataalamu hapa wanaweza kushauri na tatizo likapata ufumbuzi, binafsi nitakimiss sana kidole mdomoni kwenye avatar ya mwanzo. Anyway tunakuombea uyashinde matatizo hayo ya IT na urejee ASAP.
hw soon can I wakilisha maombi yangu hapo kwenye red??
Mwambie' yoriyori, chinekee eeheeee'