Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 220
- Thread starter
-
- #21
Haki ya nani, nami nitamiss kale ka kidole!!!
Mhh!1 Tutamuombea arudi jamani. mwe!!!
nimeamini mapenzi ya kweli huweza kuvunja majabari..
maana pearl yuko mbali nasi lkn mapenz ya akili kwake yanasaidia tunakuwa naye karibu.
akili kazi unayoifanya inaonesha level ya penzi lako kwa pmrembo wetu pearl.
mwambie tunamiss makeke yake!!
mungu awasaidie murejee hewani haraka zaidi."jamani hata sijui niwaambieaje nawapenda sana tena sana kwakweli na nitawamiss sana. Nitakosekana jamvini kwa muda usiojulikana kutokana na matatizo ya it hapa ofisini kwetu. Naomba mtuombee turejee hewani as soon as possible tuendeleze jamvi letu"
hiyo ndiyo kauli ya mwenzetu, ......... Mwenye ujumbe wowote kwake aupitishe kwangu utamfikia immediatelly...... Na nitahakikisha anaona post zenu zote na any feedback nitaziwasilisha on time........ Thanks bros and sists....................
mungu awasaidie murejee hewani haraka zaidi.
matatizo ya it yanafumua siri zingine.......
ha ha ha hii ndo raha ya JF ya kutmia avatar!! yani unakua na marafiki kibao ila una imagine tu jinsi walivyo kutokana na post zao...sio ka facebook unaclick unaona pic then unajua yupo vp!AK, hebu niambie hivi pearl rangi na muonekano wake unafanana je? I always get the pearl virtual in my vision when i try figure out of her!!!
Nimeipenda sana avatar yako hommie. Lakini ile ya Pearl, njoo nikuapie kwa miungu ya mangi meli, ile ni picha yake halisi. Kama vipi unaweza uka do the needful ukadumisha naye zile mila zetuππ!!!!!!!!!!!ha ha ha hii ndo raha ya JF ya kutmia avatar!! yani unakua na marafiki kibao ila una imagine tu jinsi walivyo kutokana na post zao...sio ka facebook unaclick unaona pic then unajua yupo vp!
AK, hebu niambie hivi pearl rangi na muonekano wake unafanana je? I always get the pearl virtual in my vision when i try figure out of her!!!
jamani hata sijui niwaambieaje nawapenda sana tena sana kwakweli na nitawamiss sana. nitakosekana jamvini kwa muda usiojulikana kutokana na matatizo ya IT hapa ofisini kwetu. naomba mtuombee turejee hewani as soon as possible tuendeleze jamvi letu
Naona ile rehabilitation imeanza kuonyesha matunda....!Afanye kazi na asiwe anatumia facilities za ofisini kwa manufaa yake mfano JF. Huu ni ufisadi wa muda wa mwajili wake. Mfikishie huu ujumbe nitamiss PM zake na kule kwenye facebook.nitaongea naye jioni labda kama na simu yake imefulia! LOL
Masa K
ha ha ha hommie kwenye chaki hapo panahusika zaidi.... nime do the needful!!Nimeipenda sana avatar yako hommie. Lakini ile ya Pearl, njoo nikuapie kwa miungu ya mangi meli, ile ni picha yake halisi. Kama vipi unaweza uka do the needful ukadumisha naye zile mila zetuππ!!!!!!!!!!!
taratibu, tutafika mbalimatatizo ya it yanafumua siri zingine.......
dah!huyu mwanamama tutam-miss sana
Afanye kazi na asiwe anatumia facilities za ofisini kwa manufaa yake mfano JF. Huu ni ufisadi wa muda wa mwajili wake. Mfikishie huu ujumbe nitamiss PM zake na kule kwenye facebook.nitaongea naye jioni labda kama na simu yake imefulia! LOL
Masa K
Nimeipenda sana avatar yako hommie. Lakini ile ya Pearl, njoo nikuapie kwa miungu ya mangi meli, ile ni picha yake halisi. Kama vipi unaweza uka do the needful ukadumisha naye zile mila zetuππ!!!!!!!!!!!