Jamani wanaJF me naomba tuanzishe mpango mmoja huu

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
5,987
Reaction score
6,682
MTU akiumwa tunaenda kumsalimia na mchele kili 10 ,mafuta Lita 5,nyama kilo 6 maharage kilo 5 nyanya, vitunguu na viungo vya pilau [emoji39][emoji39][emoji39]Nakama tumekubaliana tuanze kesho maana mimi mwenyewe najihis homa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahha Watu Wataumwa Kila Wiki
 
Anzieni kwangu basi. Me naumwa. Mkiwa tayari niambieni niwape location [emoji6]

Back
Top Bottom